Search This Blog

Tuesday, January 19, 2021

Morocco yaanza kampeni yake ya CHAN kwa ushindi


Na katika michezo, Morocco ilipata ushindi wa 1 - 0 dhidi ya Togo jana wakati ikilenga kuwa nchi ya kwanza kutetea Kombe la Mataifa ya Afrika kwa wachezaji wa ligi za ndani - CHAN. Bao la Morocco lilipatikana kupitia penalti iliyopigwa mara mbili na Yahya Jabrane. 

Morocco ndio wanaopigiwa upatu kufanya vyema katika mashindano hayo pamoja na wenyeji Cameroon na mabingwa mara mbili Cameroon Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. 

Katika mechi nyingine ya Kundi C, Rwanda ililazimisha sar ya bila kufungana na Uganda. Hii leo, Tanzania itashuka dimbani kupambana na Zambia wakati Guinea ikiangushana na Namibia.



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...