Search This Blog

Thursday, January 28, 2021

Maandamano dhidi ya Pashinyan yaendelea Armenia


Waandamanaji huko Yerevan mj mkuu wa Armenia wameendelea na maandamano wakitaka Waziri Mkuu Nikol Pashinyan ajiuzulu.

Maandamano ambayo yalianza baada ya Armenia kukubali kushindwa dhidi ya Azerbaijan katika mapigano  Nagorno-Karabakh, yanaendelea hadi hii leo.

Waandamanaji walikuwa wakipiga kelele wakimtaka waziri huyo kujiuzulu huku mapigano yakizuka kati ya waandamanaji na polisi.

Wananchi huko Armenia walianza maandamano mnamo Novemba 10, baada ya Pashinyan kukubali kushindwa dhidi ya Azerbaijan.



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...