Search This Blog

Saturday, January 30, 2021

BMT leo linatarajiwa kusimamia uchaguzi mkuu wa Chama cha Riadha Tanzania

 


BARAZA la Michezo Tanzania (BMT), leo linatarajiwa kusimamia uchaguzi mkuu wa Chama cha Riadha Tanzania (RT).

Uchaguzi huo ni wa kikatiba na unatarajiwa kujaza nafasi mbalimbali za uongozi katika chama hicho.

Akizungumzia kuhusu uchaguzi huo, Katibu Mkuu wa RT, Ombeni Mzavara amesema: “Maandalizi yote ya uchaguzi mkuu wa chama cha riadha Tanzania yamekamilika.

“Kwa mwaka huu tunatarajia uchaguzi huu utasimamiwa na BMT, ambao wamehusishwa katika mchakato mzima wa uchaguzi tangu utaratibu wa kuchukua na kurudisha fomu,”



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...