Search This Blog

Thursday, January 7, 2021

Askari wanne wafukuzwa kazi Arusha,yupo aliyekutwa akiiba umeme


Jeshi la Polisi nchini limewafukuza kazi kwa  askari wake wanne kutokana na makosa mbalimbali ya utovu wa nidhamu ,rushwa na wizi.

Akiongea na vyombo vya habari Kamanda wa polisi Mkoa wa Arusha ,Salumu Hamduni amesema kuwa Askari hao wamefukuzwa kazi Januari 6,2021.



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...