Search This Blog

Thursday, December 31, 2020

Wanaapolo’ wanaozama mgodini mirerani na ishu ya utoroshaji wa madini


Baada ya Waziri wa madini Dotto Biteko kutoa maagizo  December, 17 2020 ya maneneja wa migodi kuwakagua wafanyakazi wao kabla yakutoka kwenye ukuta wa Mirerani wilayani Simanjiro mkoani Manyara,Wachimbaji wa madini maarufu kama wanaapolo wamekutana  nakupeana mikakati ikiwemo kufuata utaratibu uliowekwa ili kukomesha utoroshaji wa madini.

Rose Njau katibu wa chama cha wachimbaji wa madini Mirerani amesema serikali inawatambua wachimbaji hao



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...