Mkuu wa mkoa Kagera Brig. Jen. Marco E Gaguti ametoa onyo kali kwa wavuvi haramu katika kisiwa cha Bumbile wilayani Muleba na kuwataka kuacha mara moja vitendo vya kujihusisha na uvuvi haramu ambao umekuwa ukiigharimu serikali kwa kupoteza mamilioni ya fesha na kuharibu mazalia ya samaki ndani ya ziwa victoria.
RC Gaguti amesema wakati akizingumza na wanachi na wakazi wa kisiwa cha Bumbile wilayani Muleba katika mkutano wa adhara kwa lengo la kusikiliza kero kwa wananchi hao na kuzitolea ufumbuzi.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.....USISAHAU KUSUBSCRIBE
No comments:
Post a Comment