Search This Blog

Friday, December 18, 2020

VIDEO: RC Gaguti ampa siku 4 meneja TANESCO mkoa kujieleza


Mkuu wa mkoa Kagera Brig. Jen. Marco E Gaguti amempa siku 4 meneja wa shirika la umeme TANESCO mkoani Kagera kumueleza kwanini kituo cha Afya Lukole wilayani Ngara hakina umeme na kila kitu kimekamilika ktuoni hapo hali ambayo inapelekea watoa huduma kituoni hapo kulazimika kutumia sola na tochi za simu kuhudumia wagonjwa huku shughuli nyingine za upasuaji zikikwama kutokana na kituo hicho kukosa umeme.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...