Search This Blog

Thursday, December 3, 2020

Mawaziri wa Mambo ya Ndani wa Uturuki na Italia wafanya mkutano kwa njia ya video


Waziri wa Mambo ya Ndani Süleyman Soylu, alifanya mkutano kwa njia ya video na Wazir mwenzie wa Italia, Luciana Lamorgese.

Viongozi wengine walioshiriki mkutano huo walikuwa ni Naibu Waziri İsmail Çataklı, Kamanda wa Kikosi cha Ulinzi wa Pwani Meja Ahmet Kendir, Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Uhamiaji Savaş Ünlü na Mkuu wa Idara ya Jumuiya ya Ulaya na Uhusiano wa Kigeni Sezer Işıktaş.

Katika mkutano huo uliofanyijka ndani bila ya waandishi wa habari, kulijadiliwa masuala kama vile hali ya uhifadhi wa wahamiaji, usafirishaji haramu wa binadamu na mapambano dhidi ya uhamiaji wa kiholela.



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...