Search This Blog

Tuesday, December 29, 2020

Klabu ya Simba imetangaza kumsimamisha mchezaji wake Jonas Mkude


 Klabu ya Simba imetangaza kumsimamisha mchezaji wake, Jonas Mkude kutokana na tuhuma za utovu wa nidhamu zinazomkabili ili kupisha uchunguzi na kusikilizwa kwa tuhuma hizo mbele ya kamati ya nidhamu ya klabu hiyo.





No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...