Kenya imesema inatarajia kupokea shehena ya kwanza ya chanjo ya corona ifikapo January mwakani, ambapo 30% ya Wakenya watakuwa wamepata chanjo hiyo hadi kufikia March 2021.
Kenya itapokea dozi za chanjo ya Corona zipatazo Milioni 24 kutoka Taasisi ya Kimataifa ya COVAX kupitia mpango unaosimamiwa na WHO na imeagiza pia dozi nyingine Milioni 12 kwa gharama ya Ksh Bilioni 10 .

No comments:
Post a Comment