Search This Blog

Wednesday, December 16, 2020

Cardi B ampa zawadi ya gari mumewe Offset aina ya Lamborghini

 


Baada ya Rapa Offset  kumzawadia Mpenzi wake Cardi B zawadi ya Gari la kifahari aina ya Rolls Royce kwenye Siku ya Birthday yake Oktoba 28, Cardi B nae ameamua kulipa kwa style ile ile

Siku ya jana Rapa cardi B amemnunulia Mumewe  Offset Ndinga mpyaa aina ya Lamborghini (Lambo Aventador SVJ 63) inayogharimu zaidi ya Dolla $600,000 kama zawadi ya kusheherekea kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa akiwa katimiza Umri wa Miaka 29.



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...