Search This Blog

Saturday, December 5, 2020

Biden “Wamarekani hawatalazimishwa kupata chanjo corona”

 


Rais Mteule wa Marekani, Joe Biden amesema Chanjo itakapopatikana, raia wa Marekani hawatalazimishwa kuitumia. Amesema, atafanya kila analoweza kama Rais kuhimiza wananchi kuchukua maamuzi sahihi

Kauli yake inakuja baada ya Kituo cha Kudhibiti Magonjwa (CDC) kushauri watu kuvaa barakoa hata wanapokuwa maeneo ya wazi, isipokuwa wakiwa nyumbani

Biden ambaye ataapishwa kuwa Rais mwakani pia amesema anatarajia hafla ya uapishwaji haitohusisha kundi kubwa la watu kutokana na mlipuko wa Corona Virus.



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...