Search This Blog

Thursday, December 17, 2020

Baada ya kifo cha Jengua, Kingwendu aiomba serikali jambo ili


Kufuatia kifo cha muigizaji Mohamedi Fungafunga maarufu kama Mzee Jengua, mchekeshaji Kingwendu amesema anaiomba Serikali iwaangalie wasanii ili wawe na madaktari wao wa kuwafanyia 'check up' ya mwili

Kingwendu amesema suala hilo lingekuwa jema sana kwa wasanii ili wakiumwa wanajua kabisa ni ugonjwa gani ambao unamsumbua pia huepusha utata unaotokeaga kuhusu chanzo cha ugonjwa uliopelekea kifo cha msanii.

"Fundisho kubwa kwa wasanii kama unaumwa usilazimishe kufanya kazi jaribu kufuatilia vipimo hospitalini ili kuangalia afya zetu, pia tungejaribu kuongea na Serikali ituangalie na tuwe na madaktari wetu wa kutufanyia 'check up' ili mtu anapoumwa ijulikane anaumwa nini" ameeleza Kingwendu 



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...