Search This Blog

Monday, November 16, 2020

Waziri Mkuu wa Uingereza alazimika kwenda tena Karantini

 


Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson amelazimika kwenda tena Karantini kufuatia kuwa karibu na Mtu ambaye amethibitika kuwa na corona, Boris aliwahi kuugua corona hadi kulazwa ICU, lakini kwa mipango ya Mungu na kwa msaada wa Madaktari baadaye alifanikiwa kupona.

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...