Search This Blog

Friday, November 27, 2020

Wanaosema mume wangu mdogo wana kadi lake la kliniki?- Asha Boko


Msanii wa vichekesho kotoka hapa nchi Asha Boko amefunguka ukweli kuhusu ndoa ake na kuweka ukweli kuwa waliodhani ni movie au kiki ni uongo bali ni kweli wamefunga ndoa.

Asha Boko amedai kuwa alishawahi kuolewa na hii ni ndoa ya pili ila ile a kwanza akuachika bali mumewe aliuawa na majambazi.

"Hii ndoa yangu ya pili, Mume wangu wa kwanza hatukuachana na tulibahatika kupata watoto wawili na wakati tunakaa Kimara tulivamiwa na majambazi na alipigwa risasi na kupoteza maisha yake, ni miaka 13 imepita" Ashaboko

"Mume wangu mdogo wao wana kadi lake la clinic na sidhani kama wanatakiwa kujua umri wa mume wangu ila sababu labda yeye ni mwembamba na mwili wake mdogo anaonekana mdogo ila sio mdogo. Mwangalieni sura yake mkubwa anaonekana" Ashaboko



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...