Search This Blog

Tuesday, November 24, 2020

India yapiga marufuku matumizi ya programu za simu za China


Programu 43 za simu zikiwemo 4 za kampuni kubwa za biashara ya mitandaoni za China pamoja na Alibaba Group zimepigwa marufuku nchini India kwa madai ya kuwa na athari kwa usalama wa taifa. 

Wizara ya Elektroniki na Mawasiliano imetoa maelezo na kubainisha sababu zilizopelekea marufuku hayo kwa kusema, "Programu hizi zimeonekana kuwa tishio kwa usalama wa taifa na kuvuruga taratibu za utendaji kazi wa umma.”

Serikali ya New Delhi pia iliwahi kupiga marufuku ya matumizi ya programu nyingi za simu mwezi wa Juni na Septemba kwa madai ya kuwa na athari ya usalama. 

Nyingi ya programu hizo zilizopigwa marufuku zinamilikiwa na China. 




No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...