Search This Blog

Wednesday, November 18, 2020

Breaking News: Rais wa Zanzibar afanya ziada ya kushtukiza katika soko la kijangwana


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amefanya ziada ya kushtukiza katika soko la kijangwana.

Ziada hiyo ya Dk. Mwinyi Mara baada ya wafanyabiashara katika soko hilo kuandamana hadi ofisi kuu za CCM kisiwandui kea Madai ya kuondoshwa kufanya biashara katika eneo hilo



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...