Waziri Mkuu Khan aliandika ujumbe wa kusherehekea siku hiyo maalum kupitia mtandao wa kijamii wa Twitter na kusema,
‘‘Namapongeza Rais wa Azerbaijan İlham Aliyev pamoja na ndugu wananchi wa Azerbaijan kwenye siku yao ya Uhuru wa Taifa. ’’
Khan ambaye pia alibainisha heshima kubwa aliyokuwa nayo kwa vikosi vya jeshli la Azerbaijan kwa ujasiri wao wa kulinda taifa, na kusisitiza kuwa Pakistan inaunga mkono Azerbaijan katika suala la kutafuta suluhisho la mzozo wa Nagorno-Karabakh, kwa ushirikiano wa baraza la usalama la UN.

No comments:
Post a Comment