Search This Blog

Saturday, October 24, 2020

Walinzi ishirini wameuawa katika shambulizi kwenye kituo cha jeshi huko Afghanistan


Celil Vatandost, gavana wa wilaya ya wilaya ya Haşrud ya mkoa wa Nimruz magharibi mwa Afghanistan, aliwaambia waandishi wa habari kwamba wanamgambo hao walifanya shambulizi kwenye kituo cha jeshi katika wilaya ya Hashrud ya Dehmezeng.

Akisema kuwa walinda usalama 20 walipoteza maisha katika shambulizi hilo, Vatandost amesema kuwa wanajeshi 6 walichukuliwa mateka na wanamgambo hao.

Taliban bado haijatoa tamko juu ya suala hilo.

Kwa upande mwingine, Wizara ya Ulinzi ya Afghanistan imetangaza kuwa wanamgambo walifanya mashambulizi katika majimbo 24 katika masaa 24 iliyopita



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...