Search This Blog

Sunday, October 11, 2020

Tanzania yapokea kichapo kutoka kwa Burundi



Timu ya taifa ya soka ya Tanzania, imekubali kichapo cha goli 1-0 kutoka kwa Burundi kwenye mchezo wa kirafiki uliopigwa kwenye uwanja wa Mkapa jijini Dar es salaam

Tanzania ilikosa nafasi kadhaa kipindi cha kwanza na cha pili kupitia kwa nyota wake Simon Msuva, Mbwana Samatta na wengine kabla ya Burundi kutumia nafasi.

Dakika ya 80 kiungo wa Tanzania na klabu ya Simba Jonas Mkude alionyeshwa kadi nyekundu baada ya kuwa na majizano na mshambuliaji Saido Berahino.

Dakika ya 86 mshambuliaji wa Burundi Saidi Ntibazonkiza akaifungia goli timu yake ambalo limedumu mpaka dakika 90 zinamalizika



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...