Search This Blog

Tuesday, October 13, 2020

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

  TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 13 Oktoba, 2020 ameshuhudia kampuni ya Twiga Minerals na Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) likitoa gawio kwa Serikali kutokana na faida katika biashara ya madini. Hafla ya utoaji wa gawio hilo imefanyika katika ukumbi […]

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...