Mabao mengine ya Real Madrid yalifungwa na Federico Valverde dakika ya tano na Luka Modric dakika ya 90, wakati bao pekee la Barcelona limefungwa na Ansu Fati dakika ya nane katika mchezo ambao Nahodha wao, Lionel Messi alionyeshwa kadi ya njano dakika ya 90 na ushei
Search This Blog
Sunday, October 25, 2020
Real Madrid yaichapa Barcelona wenye dimba la Camp Nou
Sergio Ramos akishangilia baada ya kuifungia bao la pili Real Madrid kwa penalti dakika ya 63 katika ushindi wa 3-1 dhidi ya wenyeji, Barcelona kwenye mchezo wa La Liga leo mchana Uwanja wa Camp Nou.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment