Search This Blog

Sunday, October 25, 2020

Liverpool yaipa kipigo Sheffield United


 Diogo Jota (kushoto) akishangilia baada ya kuifungia Liverpool bao la ushindi dakika ya 64 ikiwalaza Sheffield United 2-1 kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Anfield. Sheffield United ilitangulia kwa bao la Sander Berge kwa penalti dakika ya 13, kabla ya Roberto Firmino kuisawazishia Liverpool dakika ya 41 na Mohammed Salah akafunga bao zuri kipindi cha pili ambalo VAR ilionyesha ameotea likakataliwa.

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...