Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akipiga kura katika kituo cha Idara ya Maji kijiji cha Ikulu Chamwino mkoani Dodoma leo Jumatano Oktoba 28,2020.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dk. John Pombe Magufuli na mke wake Mama Janeth Magufuli wakisubiri kukabidhiwa karatasi za kupigia kura katika katika kituo cha Idara ya Maji kijiji cha Ikulu Chamwino mkoani Dodoma leo Jumatano Oktoba 28,2020.
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akiingia kwenye kituo cha kupigia kura mara baada ya zamu yake kufika ili kupiga kura.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dk. John Pombe Magufuli akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kupiga kura katika kijiji cha Ikulu Chamwino kushoto ni mke wake Mama Janeth Magufuli.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dk. John Pombe Magufuli akionesha kidole chake kama uthibitisho wa kupiga kura yake kushoto ni mke wake Mama Janeth Magufuli.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dk. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono wananchi mara baada ya kupiga kura yake katika kijiji cha Ikulu Chamwino leo asubuhi.











No comments:
Post a Comment