Search This Blog

Saturday, October 24, 2020

Aliyosema DUNIA ni Tambarare na Wala Sio Duara Kama Wanasayansi Wanavyosema Apata Hofu na Maisha Yake


Miaka kadhaa iliyopita rapa B.o.B alitoa kauli ambayo iliushtua ulimwengu, ni nadharia kwamba dunia ni tambarare na sio duara kama inavyoelezwa kisayansi.


Kauli hiyo ya B.o.B ilianza kumletea madhara, amedai kuwa alianza kupata hofu ya maisha yake. Amesema kikawaida ukizungumza na kufichua vitu kama hivyo basi hakuna ambaye atakutazama kwa jicho zuri.

-

"Anybody that speaks truth to power or says controversial things ends up dead." B.o.B aliiambia HipHop DX



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...