Search This Blog

Sunday, September 6, 2020

Waziri wa mambo ya nje wa Urusi azungumza na rais wa Serbia kuhusu Yerusalemu


Waziri wa mambo ya nje wa Urusi Sergey Lavrov zungumza na rais wa Serbia kuhusu uamuzi wa kfungua ubalozi wake Yerusalemu.

Waziri wa mambo ya nje wa Urusi Sergey Lvrov azungumza  kwa nia ya simu na rais wa Serbia Aleksandar Vucic.

Taarifa  kuttoka wizara y a mambo ya nje ya Urusi zimefahamisha kwamba mazungumzo kati ya viongozi hao wawili  yamegubikwa na uamuzi uliochukuliwa na Serbia kufungua ubalozi wake  mjini Yerusalmu   Israel.

Israel kutangaza  kwamba Yerusalmu ndio mji wake mkuu mwaka uliopita kulipelekea mvutano mkali wa kidiplomasia Umoja wa Mataifa   kati ya mataifa wanachama.

Baadhi  ya mataifa  yaliunga mkono  uamuzi  huo wa Israel huku mataifa mengine ikiwemo Uturuki  yalipiga uamuzi huo ambao ilitaja kuwa kinyume na makubaliano ya kimataifa kuhusu  mzozo  wa Mashariki ya Kati.

Serbia kwa upande wake pia imetangaza kwamba unafungua ubalozi wake mjini Yerusalemu.




No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...