Search This Blog

Monday, September 14, 2020

Shule ya Byamungu Islamic Yateketea Kwa Moto....Wanatoto 10 Wafariki Dunia


 Watoto 10 wamepoteza maisha baada ya Shule ya Msingi Byamungu Islamic iliyoko Kata ya Itera wilayani Kyerwa mkoani Kagera, kuteketea kwa moto usiku wa kuamkia leo Septemba 14, 2020.

Taarifa za awali zinaeleza kuwa umri wa wanafunzi waliofariki ni kati ya miaka sita hadi 12.

Bweni lililoungua ni la wanafunzi wa kiume ambapo majeruhi 6 wamepelekwa Hospital ya Nyakahanga



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...