Na Clavery Christian Kyerwa Kagera.
Wanafunzi Kumi wa shule ya msingi Byamungu Islamic wamefariki dunia na wengine saba kujeruhiwa vibaya kutokana na ajali ya moto ulioteketeza bweni la shule hiyo majira ya saa sita usiku wa kuamkia leo katika wilaya ya Kyerwa Mkoani Kagera.
Kamati ya ulinzi na usalama mkoani Kagera chini ya mkuu wa mkoa imedhibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusema kuwa upelelezi unaendelea ili kuweza kubaini chanzo cha moto huo na madhara mengine yaliyotokea.
Kwa habari zaidi endelea kufuatilia Muungwana Blog

No comments:
Post a Comment