Search This Blog

Saturday, September 12, 2020

Rais Erdoğan azungumza na waziri mkuu wa Uhispania


Rais wa Uturuki Recep Tayyıp nErdoğan azungumza na waziri mkuu wa Uhispania  Pedro Sanchez kwa njia ya simu.

Kwa mijibu wa  kitengo kinachohusika na mawasiliano ikulu  ni kwamba rais wa Uturuki na waziri  mkuu wa Uhispania  wamejadili kuhusu ushirikiano kati ya mataifa hayo mawili.

Masuala tofauti ikiwemo  hali iliopo  katika ukanda imejadiliwa.




No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...