Search This Blog

Thursday, September 3, 2020

Msemaji wa rais wa Uturuki azungumza na Mshauri wa usalama Marekani



Ibrahim Kalın, msemaji wa ikulu ya rais wa  Uturuki amezungumza kwa njia ya simu na  mshauri wa usalama wa taifa wa Marekani Robert C. Brien.

Kulingana  na taarifa  zilizotolewa na kitengo  kinachohuiskana na upashaji habari ikulu , imefahamishwa kwamba Ibrahim Kalin amezungumza O Brien kuhusu  ushirikiano kati ya Uturuki na Marekani na masuala muhimu katika  ukanda wa Mediterania Mashariki.

Katika mazungumzo yao, Ibrahim Kalın amesema kwamba Uturuki haina haja  kuibua mzozo na mvutano katika bahari ya Mediterania.

Kalın amesema uwa rais Erdoğan amezungumza pia kuhusu usawa katika ukanda.

Ugiriki inatuhumiwa na Uturuki  kuzua mgogoro na kwenda kinyume na makubaliano ya kimataifa.



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...