Search This Blog

Wednesday, August 12, 2020

Uchebe amenipiga mara 26, na kipigo si chanzo cha kuachana naye- Shilole

"Kupigwa na wanaume sijaanza leo, tangu mwanaume wa kwanza aliyenioa nikiwa na umri wa miaka 18 alikuwa ananinyanyasa na kunipiga sana, ila kipindi hiki cha Uchebe imekuwa 'too much'.


Uchebe amenipiga mara 26, tangu anioe, siku ya kwanza nilikuwa na-shoot na akina Soud Brown, akachukia akaenda nyumbani nilipofika tu akanipokea kwa makofi.


Siku nyingine amepigiga nimechelewa kurudi kutoka kwenye msiba wa Ruge, nilipofika getini tu akanipokea kwa kipigi, nilipigwa mpaka mbwa akaamka.


Siku nyingine alikuta nimekaa hapa ShishiFood na wateja, akaniita nikachezea kipigo, akanimwagia chell souse akaondoka.


Uchebebe anatumia mwamvuli wa dini kufanya maovu, ni mnafiki." Amefunguka Shilole



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...