Search This Blog

Wednesday, August 12, 2020

TAKUKURU yatakiwa kuwadhibiti wanaorubuni wapiga kura

Serikali imeiagiza Taasisi ya Kudhibiti na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kuhakikisha ina wazuia wananchi kutorubuniwa na wagombea wanaoutumia rushwa kununua uongozi.


Agizo hilo limetolewa jijini Dodoma na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, wakati alipokuwa akifungua jengo la uchunguzi wa kiintelejensia linalomilikiwa na TAKUKURU, kwa ajili ya uendeshaji wa shuguli zake.


Aidha, Waziri Mkuu akachukua wasaa huo pia kuwasihi wanasiasa wenzake, wanaowania nafasi mbalimbali za uongozi, kujiepusha na vitendo vya rushwa, ili waweze kupata nafasi hizo wanazowania.




No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...