Search This Blog

Tuesday, August 11, 2020

Rick Ross autoa mjengo wake kwa Kanye West utumike kwa ajili ya ibada

 

Rick Ross ameutoa mjengo wake utumike kwa ajili ya ibada ambazo Kanye West huwa anazifanya kila jumapili.


Kufuatia mlipuko wa ugonjwa Corona shughuli nyingi zimesimama ikiwemo huduma ya "Sunday Service" ambayo #KanyeWest alikuwa anaitoa kila siku ya jumapili, Ila inaonekana @richforever yupo tayari kufanya chochote ili kuirudisha, Kupitia mtandao wa Twitter ameandika "Mwambieni Ye aje kufanya ibada ya jumapili kwenye mjengo wangu"


Mjengo huo wa kifahari wa Rick Ross pia umetumika kwenye filamu ya pili ya 'Coming To America'



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...