Search This Blog

Tuesday, August 25, 2020

NEC Yamteua Hashim Rungwe kuwa mgombea wa Urais wa Tanzania Kwa Tiketi ya chama cha CHAUMMA.



Mwenyekiti wa NEC Jaji Mstaafu Semistolces Kaijage kwa mamlaka aliyopewa, amemteua Hashim Rungwe kuwa mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mohammed Masoud kuwa mgombea wa Kiti cha Makamu wa Rais kupitia chama cha CHAUMMA.

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...