Na Faruku Ngonyani , Mtwara
Ikiwa bado mwezi mmoja kufanyika kwa uchaguzi Mkuu hapa Nchini aliyekuwa Mbunge wa jimbo hilo kupitia Chama cha Wananchi (CUF) Maftaha Nachuma amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuttea kiti hiko.
Fomu hiyo amekabidhiwa na msimaminzi wa Uchaguzi Jimbo ;la Mtwara Mjini ambae pia ni Mkurugenzi wa Manispaa Mtwara Mikindani Kanali Emmanuel Mwaigobeko ofisini kwake.
Ikumbukwe zoezi la uchukuaji na ureshaji wa fomu ya kuwania nafasi hizo za ubunge hapa nchini litamalizika tarehe 25 agosti 2020 ambapo wawakilishi kutoka vyama mbalimbali wameendelea kuchukua fomu ili kushiriki uchaguzi huo na katika nafasi za uongozi.
Mpaka sasa wagombea takribani wane wa vya siasa (4) wamejiktokeza kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuwanaia nafasi ya Ubunge wa jimbo la Mtwara Mjini.
Waliojitkeza kuchukua fomu hizo ni pamoja na Tunza Malapo kutoka Chadema,Hssani Hanga kupitia NSSR-Mageuzi, Ndg Hashimu Mohamedi kupitia Chama cha cha DP na Maftaha Nachuma kupitia chama cha CUF.

No comments:
Post a Comment