Search This Blog
Sunday, August 2, 2020
Kikosi cha simba kutua leo Dar
BAADA ya Kikosi cha Simba jana kutwaa ubingwa wa Kombe la Shirikisho kilirejeai jijini Mbeya.
Leo saa 2:20 asubuhi kitaondoka kwa ndege kurudi jijini Dar es Salaam.
Simba ilishinda mbele ya Namungo FC kwa ushindi wa.mabao 2-1 mchezo wa fainali iliyochezwa Uwanja wa Nelson Mandela.
Mabao ya Simba jana, Agosti 2 yalifungwa na Luis Miqussone na John Bocco huku lile Namungo FC likifungwa na Edward Manyama.
Sven Vandenbroeck, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa wachezaji wake wamepambana kufikia mafanikio jambo lililowapa ushindi.
"Wachezaji wamepambana kwa kadri ya uwezo wao jambo lilitupa ushindi, wapinzani wetu wameonyesha ushindani pia," amesema.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment