Msanii wa filamu @ireneuwoya8 amedai amejipanga kuachia ngoma yake akiwa na rapa @rosa_ree .
Amesema hayo Ijumaa hii akizungumza na waandishi wa habari juu ya clips ambayo alikuwa anaonekana akiimba.
Tazama Video Mpya ya Rosa Ree Hapa chini:
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
No comments:
Post a Comment