Mwakinyo Amchapa Bondia wa Congo...Bingwa wa Mkanda wa WBF
Bondia Hassan Mwakinyo amefanikiwa kuibuka Bingwa wa mkanda wa WBF baada ya kumpiga kwa point Tshibangu Kayembe wa Congo DR katika pambano la round 12. Pambano lilikuwa Na Ushindani Mkubwa Sana
No comments:
Post a Comment