Search This Blog
Tuesday, August 4, 2020
Hawa Hapa Wanaowania Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom
Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom imekamilisha zoezi la
kuteua majina matatu kwa kila tuzo inayowaniwa kwa msimu wa
2019/2020 kama ifuatavyo;
KOCHA BORA
1. Sven Vandenbroeck - Simba SC
2. Hitimana Thiery - Namungo FC
3. Aristica Cioaba - Azam FC
BEKI BORA
1. Bakari Mwamnyeto - Coastal Union FC
2. David Luhende - Kagera Sugar FC
3. Nico Wadada - Azam FC
KIUNGO BORA
1. Lucas Kikoti - Namungo FC
2. Cletous Chama - Simba SC
3. Mapinduzi Balama – Young Africans SC
MCHEZAJI BORA
1. Nicolas Wadada - Azam FC
2. Cletous Chama - Simba SC
3. Bakari Mwamnyeto - Coastal Union FC
GOLI BORA
1. Sadallah Lipangile (KMC) vs Mtibwa
2. Luis Miquissone (Simba) vs Alliance
3. Patson Shikala (Mbeya City) vs JKT Tanzania
MCHEZAJI BORA CHIPUKIZI
1. Kelvin Kijiri - KMC FC
2. Dickson Job – Mtibwa Sugar FC
3. Novatus Dismas - Biashara United FC
KIPA BORA
1. Daniel Mgore - Biashara United FC
2. Nourdine Balora – Namungo FC
3. Aishi Manula - Simba SC
TIMU YENYE NIDHAMU
1. Coastal Union FC
2. Kagera Sugar FC
3. Mwadui FC
MWAMUZI BORA
1. Ahmed Arajiga - Manyara
2. Ramadhan Kayoko – Dar es Salaam
3. Abdallah Mwinyimkuu - Singida
MWAMUZI BORA MSAIDIZI
1. Frank Komba – Dar es Salaam
2. Abdulaziz Ally - Arusha
3. Hamdan Said - Mtwara
Sherehe za tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom 2019/2020 zinatarajiwa
kufanyika Agosti 7, 2020 katika ukumbi wa Mlimani City jijini
Dar es Salaam.
Idara ya Habari na Mawasiliano
Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB)
Agosti 3, 2020
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment