Search This Blog

Wednesday, August 12, 2020

Haji Manara Akosa Cha Kuongea Baada ya Morrison Kuigaragaza Yanga Vibaya Mahakama ya TFF




Msemaji wa mabingwa wa Ligi kuu bara Simba SC, Haji Manara ameshindwa kutoa kauli yoyote juu ya ushindi aliopata mchezaji wao moya Bernard Morrison kwenyebkesi ikiyokuwa inamkabiri dhidi ya klabu yake ya Zamani Yanga.

Read More: Nafasi za Ajira Serikalini

Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa Instagram Manara amesema kwa sasa mashabiki wampe muda kwaku ni jambo la busara kukaa kimya ukiwa na furaha sana au hasira ndio maan anataka watu wameache kwa sasa.

“Katika Siasa na Propaganda tumefundishwa ukiwa na furaha sana au hasira sana usiseme kitu chochote, jipe muda japo kidogo tu, baadae sema ulichonacho!!! I’ll be back later INSHA’ALLAH” ameandika Manara.


No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...