Search This Blog

Sunday, August 16, 2020

Godbless Lema "Tume Wajue Walio Choma ofisi za Chadema Arusha Moto"



Mgombea Ubunge jimbo la Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema, ameitaka Tume kuwachukulia hatua vyombo vyake ulinzi na usalama kwa kitendo cha kuchomwa ofisi.

“Tume wajue walio choma ofisi za Chadema Arusha moto, tume chukua hatua kwa vyombo vya ulinzi na Usalama,” aliandika Lema katika ukurasa wake wa twitter.

“Nina matumaini makubwa kwamba hatua stahiki zitachukuliwa ili kuepusha chuki na visasi katika jamii,” aliandika Lema.

Lema alisema upumbavu kama huo ukifumbiwa macho ni hatari kwa nchi


No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...