Search This Blog

Tuesday, August 18, 2020

Drake Hachoki Kuzimwaga Sifa kwa Lil Wayne 'Huyu Jamaa Aliniamini Baada ya Kukataliwa na Kuambiwa Hapana na Wengi'

Drake hachoki kuzimwaga sifa kwa Lil Wayne, msaada alioupata kusainiwa Young Money Entertainment umebaki kama kovu kwenye maisha yake.

Drizzy amedondoka comment yake nzito kwenye ukurasa wa Mtangazaji Elliot Wilson ambaye alifanya naye mahojiano, na kisha kuzimwaga sifa kibao kwa Wizzy

"Huyu jamaa aliniamini baada ya kupitia kukataliwa na kuambiwa hapana. Msanii ambaye sio mbinafsi kabisa, hakuwahi kutuacha nyuma, kila siku amekuwa akitusukuma mbele usiku na mchana, kutupeleka kwenye show zake kubwa na kututambulisha kwa miaka. Sifa zote ziende kwako, Mkali wa Muda Wote." Aliandika Drake.


No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...