Search This Blog

Thursday, August 13, 2020

China: Vipapatio vya kuku kutoka Brazil vyakutwa na corona


Spuli za mabawa ya kuku yaliyogandishwa zimegundulika kuwa na Virusi vya Corona Mjini Shenzhen. Nyama hizo ziliagizwa kutoka nchini Brazil

Baada ya ugunduzi huo, Mamlaka za Afya ziliwatafuta na kuwapima watu waliokuwa karibu na bidhaa hiyo ambapo majibu yameonesha hawana maambukizi

Aidha, eneo ambalo vipande vyenye Virusi viliwekwa limepuliziwa dawa na Mamlaka inatafuta bidhaa nyingine za kampuni hiyo ambayo haijawekwa wazi

Hata hivyo, Shirika la Afya (WHO) na Kituo wa Kuzuia na Kudhibiti Magonjwa cha Marekani (CDC) zimewahi kusema uwezekano wa kupata #CoronaVirus kupitia chakula ni mdogo




No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...