Search This Blog

Saturday, August 8, 2020

Adaiwa Kuua Ndugu Zake Waliomtuhumu Kuiba Kuku na Redio


UGANDA: Mwanaume (33) anatuhumiwa kumkatakata mjomba wake na kukata koromeo la mke wa mjomba

Amewashutumu kuchafua jina lake kwa kudai amewaibia kuku na redio na kisha kuviuza ili apate pesa ya pombe

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...