Search This Blog
Tuesday, July 28, 2020
Wahamiaji 50 waliofurushwa Ugiriki wapokelewa Uturuki
Wahamiaji haramu 50 waliokuwa wakijielekeza nchini Ugiriki wamefurushwa na kupokewa Uturuki.
Wahamaiji haramu 50 waliokuwa katika boti wakielekea nchini Ugiriki wamefurushwa na kikosi cha wanamaji cha Ugiriki .
Baada ya kufukuzwa wahamiaji hao wameokolewa na kikosi cha wanamaji cha Uturuki mkoani Izmir katika kitongoji cha Dikili.
Kikosi hicho cha uokozi cha Uturuki kilijielekeza katika eneo ambalo mashua hiyo ilikuwa ikifeli baada ya kupatiwa taarifa na kuwaokoa wahamiaji hao.
Wahamiai haramu 21 wameokolewa wakiwa katika boti lao la plastiki wakiwa katika safari kuelekea nchini Ugiriki.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment