Search This Blog
Friday, July 3, 2020
Wachaga Watabaki Kuwa Wake Bora Daima...Nimekuweka Facts Hapa
Twende mbele turudi nyuma hilo kabila la kichaga litabaki kuwa juu sana hasa kwa wanawake wa kabila hilo, kwanini nasema wachaga wanafaa kuolewa?. Wakuu dada wakichaga wanapiga sana kazi wanajituma hawa viumbe htr, kumkuta dada wa kichaga hajishughulishi ni nadra sana. Mwanaume ukioa hilo kabila jiandae kuwa tajir soon.
Wanawake wa kichaga wanajua kupenda jaman ukimpata aliekupenda utafurahi, hawana tabia za kimalaya kama makabila mengine akitulia katulia otherwise wewe mwanaume uwe hueleweki.
mwanamke wangu ni moja alochangia mpaka nikapanga japo nilikua sina kazi na nilipanga alinipa sana moyo wa kupambana mpaka now niko vizuri.
Nimefanya research yangu nikagundua wanawake wa kichaga ndo wanaongoza kwa kuolewa why?? Wanaume tunatafuta stability kwenye ndoa na sio mbwembwe za 6x6. Tunapenda mwanamke anayejituma, nenda mavyuoni utaona dada anaeuza boxa, bikini, macava ya cm, ubuyu wengi ni wakichaga.
Tukitoa kasoro zote zingine walizonazo ila hawa viumbe wanafaa kuolewa usiangalie sijui magogo, hawako romantic, wachaga watabak kuwa juu sana hasa kwa upande wa kina dada, huo ndo ukweli.
NOTE: Wachaga hawezi kuwa na wewe kama akiona huna future yoyte hawa wanawake huwa wanaweza kuona mbeleni wewe life ako itakuaje. Utamfanyia yote ila atavumilia.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment