Search This Blog

Monday, July 6, 2020

Trump aahidi kuwashinda wanaoharibu USA

Rais wa Marekani Donald Trump ameahidi kuwashinda wale aliowaita 'wafuasi wa mrengo wa kushoto wenye misimamo mikali' nchini humo, katika hotuba yake ya kuadhimisha siku ya uhuru wa Marekani kutoka kwa Uingereza.

Akizungumza katika Ikulu ya White House, Trump amelaani maandamano ya kupinga ubaguzi wa rangi ya hivi karibuni, yanayoangusha masanamu ya ukumbusho akisema kwamba Watu hao wanajaribu kuiharibu Marekani.

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...