Search This Blog
Tuesday, July 28, 2020
Picha: Viongozi na wananchi mbalimbali wajitokeza kwa wingi uwanja wa Uhuu
Mama Anna Mkapa, Mjane wa Rais Mstaafu Mkapa akiwa amejifunika kanisani mapema leo asubuhi katika Kanisa Katoliki Parokia ya Mtakatifu Immaculata Upanga DSM wakati wa Misa Takatifu ya kumuombea Mumewe.
Viongozi mbalimbali wakiwa wamejitokeza Uwanja wa Uhuru kwa ajili ya zoezi la kuuaga mwili wa Mzee Mkapa Kitaifa kabla ya kusafirishwa kuelekea Lupaso Mkoani Mtwara kwa ajili ya mazishi.
Wananchi mbalimbali wakiwa wamejitokeza Uwanja wa Uhuru kwa ajili ya zoezi la kuuaga mwili wa Mzee Mkapa Kitaifa kabla ya kusafirishwa kuelekea Lupaso Mkoani Mtwara kwa ajili ya mazishi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...



No comments:
Post a Comment