Search This Blog

Tuesday, July 14, 2020

Mwenyekiti UVCCM Mkoa Dodoma ajitosa Ubunge Jimbo la Mtera



Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana ww Chama Cha Mapinduzi UVCCM Mkoa wa Dodoma amejitokeza kujaza fomu ya kuomba ridhaa ya Ubunge Jimbo la Mtera kupitia CCM.


Katibu wa Chama cha Mapinduzi(CCM)wilaya ya Chamwino, Mkoani Dodoma Bi Eva Jordan,mapema tarehe 14/07/2020 akimkabidhi Mwenyekiti Umoja wa Vijana Chama Cha Mapinduzi UVCCM Mkoa Dodoma Ndg Billy Chidabwa fomu ya kuomba ridhaa ya Chama hicho kugombea Ubunge Jimbo la Mtera.

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...