Search This Blog

Tuesday, July 14, 2020

MNEC Mwakitinya achukua fomu Ubunge Mpwapwa

 Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (NEC), Mussa Mwakitinya amechukua fomu ya kuomba kugombea Ubunge wa Jimbo la Mpwapwa, Dodoma kupitia chama hicho. Jimbo hilo kwa kipindi kirefu limekua likiongozwa na George Lubeleje.




No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...